Kiswahili ni lugha ambayo ina nafasi kubwa sana kwa kuelezea maswala yanayotukabili barani afrika. Nchi nyingi Afrika zikiwemo zote za jumuiya ya Afrika Mashariki na Kati zinatumia lugha hii. Ni muhimu kwa wote hasa vijana walio na ufahamu wa lugha hii kujitolea kuieneza ili ndoto ya kuifanya lingua franca ya bara hili itimie.
Douglas Ogutu Ni mwanafunzi (M. A Kiswahili) katika Chuo Kikuu cha Kenyatta (Kenyatta University) .Amepata tajriba katika vyuo mbali mbali vikiwemo DAC EDUCATION na Nairobi Elite, Grate Lakes University of Kisumu alikofundisha Kiswahili pamoja na taaluma ya Sanaa. Yeye ameandika miswada mbalimbali ya Riwaya, Utenzi na Hadithi Fupi anayosubiria uchapishaji. Vile vile, ni mwanamuziki ambaye hucheza ala mbalimbali za muziki zikiwemo fidla na gita.Jiunge naye katika mashairi, nyimbo na maswala mbalimbali katika lugha ya kiswahili.
+ comments + 1 comments

Post a Comment