MSIMBO: D. KISW 121
MADA
YA KOZI: MBINU ZA KUFUNDISHIA KISWAHILI 1
MHADHIRI:
BW. DOUGLAS OGUTU
SHABAHA
Lengo
la kozi hii ni kumfaa mwalimu mkurufunzi katika mbinu na ztadi za
ufundishaji. Inanuiwa kumwelekeza mkurufunzi katika ufundishaji
mwafaka kwa kuzingatia njia na nyenzo mahususi pasi na ugumu.
Kufikia mwisho wa semia, mkurufunzi anatarajiwa kuwa na uwezo wa:
a).
Kueleza umuhimu wa mbinu za kufundishia Kiswahili katika shule za
upili
b).
Kutumia mbinu mwafaka katika kufundisha mbinu mbalimbali za kiswahili
kwenye shule za upili
c).
Kufafanua stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika
d).
Kutayarisha na kutumia maazimio ya kazi ipasavyo
e).
Kutayarisha andalio la funzo
f).
Kuhifadhi kumbukumbu za tathmini za wanafunzi
Yaliyomo
1.0
Dhana ya mbinu za kufundishia
Kiswahili
- Maana na umuhimu
2.0
Stadi za Lugha
- Kusikiliza
- Kuzungumza
- Kusoma
- Kuandika
- Dhana ya Ufundishaji Mseto
3.0
Matayarisho ya ufundishaji
- Maana na Umuhimu wa Silabasi
- Maana na Umuhimu wa Maazimio ya Kazi
- Andalio la Funzo
- Rekodi ya Kazi
- Kumbukumbu za tathmini za wanafunzi
- Mazingira ya kufundishia
- Nyenzo za kufundishia Kiswahili
Marejeleo
Musau,
P. na Chacha L. (2001). Mbinu za kufundisha Kiswahili kwa Walimu
wa shule za msingi, upili na vyuo. KLB.
Nairobi: Kenya
Nganje,
D. K. na Njogu K. (2008). Kiswahili kwa vyuo vya Ualimu.
Jomo Kenyatta Foundation.
Nairobi: Kenya
Mijarabu
30%
Mtihani
70%
Jumla
100%
Mbinu
za Kufundisha
- Mihadhara
- Mijadala
- Kazi za makundi
- Maswali na majibu
- Mijarabu
- Mtihani mwishoni mwa semia
+ comments + 1 comments
kiswahili....
Post a Comment