MHADHIRI: BW. DOUGLAS OGUTU
SHABAHA
Kozi hii
inalenga kumfaidi mwanafunzi wa fasihi katika ueledi wa fasihi ya Kiswahili. Maana, dhima,
tanzu, nadharia na vipengee vya uchanganuzi wa kazi za fasihi andishi
ni mambo yatakayoshughulikiwa katika semia hii. Hivyo basi kufikia
mwisho wa kozi mwanafunzi anatarajiwa kuwa na uwezo wa:
- Kufafanua maana ya fasihi na dhima ya fasihi katika jamii
- Kueleza tanzu mbalimbali za fasihi na historia yake
- Kujadili nadharia mbalimbali katika uchambuzi wa Fasihi
- Kuchambua na kuhakiki tanzu mbalimbali za fasihi
- Kueleza dhana ya tafsiri
- Kuonesha uhusiano uliopo baina ya thieta na drama
Yaliyomo
- Nadharia na Fasihi
- Maana ya Fasihi
- Dhima ya Fasihi
- Nadharia katika uchambuzi wa Fasihi
- Uchmbuzi na Uchanganuzi wa Fasihi
- Fani
- Maudhui
- Nathari
- Maana na vitanzu vya nathari
- Historia ya Riwaya na Hadithi fupi
- Uchambuzi na uhakiki wa Riwaya na Hadithi Fupi
- Drama
- Maana ya Drama
- Uhusiano baina ya Drama na Thieta
- Maana ya Tamthilia
- Utendaji wa kisanii
- Uchambuzi na uhakiki wa kazi za tamthilia
- Ushairi
- Maana ya Ushairi
- Umuhimu wa ushairi katika jamii
- Historia ya ushairi
- Aina na Bahari za mashairi
- Uchambuzi na uhakiki wa mashairi
- Utunzi wa mashairi
- Fasihi Tafsiri
- Maana ya Tafsiri
- Historia ya Tafsiri
- Matatizo katika Fasihi Tafsiri
- Uchambuzi na uhakiki wa kazi za Tafsiri
Marejeleo
Bakhressa,
K. S. (1992). Kamusi ya Maana na Matumizi.
Oxford University Press. Nairobi: Kenya
Mogambi, H. (2008). K. C. S. E. Golden Tips Kiswahili. Macmilan Publishers. Nairobi: Kenya
Njogu, K. na Chimerah, R.(2008). Ufundishaji wa Fasihi: Nadharia na Mbinu. Jomo Kenyatta Foundation. Nairobi: Kenya.
Oriedo, E. H. (2007). Istilahi za Fasihi ya Kiswahili. Kenya Literature Bureau. Nairobi: Kenya.

Wafula
R. (1999). Uhakiki wa Tamthilia: Historia na
Maendeleo yake. Jomo Kenyatta Foundation.
Nairobi: Kenya.
Wamitila,
K. W. (2003). Uhakiki wa Fasihi: Misingi na
vipengele vyake. Phoenix
Publishers Ltd. Nairobi: Kenya.
Wamitila, K. W. (2003). Kamusi ya Fasihi: Istilahi na Nadharia. Focus Publications Ltd. Nairobi: Kenya.
Wamitila, K. W. (2003). Kamusi ya Fasihi: Istilahi na Nadharia. Focus Publications Ltd. Nairobi: Kenya.
Tathmini
Mijarabu
30%
Mtihani
70%
Jumla
100%
Mbinu
za Kufundisha
- Mihadhara
- Mijadala
- Kazi za makundi
- Maswali na majibu
- Mijarabu
- Mtihani mwishoni mwa semia
Post a Comment