Translate

MBINU ZA KUFUNDISHA KISWAHILI

Monday, April 21, 20141comments



MSIMBO: D. KISW 121
MADA YA KOZI: MBINU ZA KUFUNDISHIA KISWAHILI 1
MHADHIRI: BW. DOUGLAS OGUTU


SHABAHA
Lengo la kozi hii ni kumfaa mwalimu mkurufunzi katika mbinu na ztadi za ufundishaji. Inanuiwa kumwelekeza mkurufunzi katika ufundishaji mwafaka kwa kuzingatia njia na nyenzo mahususi pasi na ugumu. Kufikia mwisho wa semia, mkurufunzi anatarajiwa kuwa na uwezo wa:
a). Kueleza umuhimu wa mbinu za kufundishia Kiswahili katika shule za upili
b). Kutumia mbinu mwafaka katika kufundisha mbinu mbalimbali za kiswahili kwenye shule za upili
c). Kufafanua stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika
d). Kutayarisha na kutumia maazimio ya kazi ipasavyo
e). Kutayarisha andalio la funzo
f). Kuhifadhi kumbukumbu za tathmini za wanafunzi
Yaliyomo
1.0 Dhana ya mbinu za kufundishia Kiswahili
  • Maana na umuhimu
2.0 Stadi za Lugha
  • Kusikiliza
  • Kuzungumza
  • Kusoma
  • Kuandika
  • Dhana ya Ufundishaji Mseto
3.0 Matayarisho ya ufundishaji
  • Maana na Umuhimu wa Silabasi
  • Maana na Umuhimu wa Maazimio ya Kazi
  • Andalio la Funzo
  • Rekodi ya Kazi
  • Kumbukumbu za tathmini za wanafunzi
  • Mazingira ya kufundishia
  • Nyenzo za kufundishia Kiswahili

Marejeleo
Musau, P. na Chacha L. (2001). Mbinu za kufundisha Kiswahili kwa Walimu wa shule za msingi, upili na vyuo. KLB. Nairobi: Kenya
Nganje, D. K. na Njogu K. (2008). Kiswahili kwa vyuo vya Ualimu. Jomo Kenyatta Foundation. Nairobi: Kenya


Tathmini
Mijarabu 30%
Mtihani 70%
Jumla 100%



Mbinu za Kufundisha
  • Mihadhara
  • Mijadala
  • Kazi za makundi
  • Maswali na majibu
  • Mijarabu
  • Mtihani mwishoni mwa semia


Share this article :

+ comments + 1 comments

February 11, 2019 at 5:27 AM

kiswahili....

Post a Comment

 
Usaidizi : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2014. Swahili - Haki zote zimehifadhiwa
Imeundwa na Creating Website Ikachapishwa na Mas Template
Imeletwa kwako na Balozihumu