Translate

MAPENZI YA MUNGU

Wednesday, December 23, 20150 comments

https://soundcloud.com/dowe-387445071/mapenzi-ya-mungu

1
Siku nyingi mpenzi tukiomba
Siku nyingi mpenzi tukingoja
Siku nyingi mpenzi tukitaka
Siku nyingi mpenzi tukipanga*2

2
Kuiona furaha ya kuacha ujana
Kuiona furaha ya kuacha wazazi
Kuiona furaha ya kuwa na subira
Kuiona furaha ya kuifunga ndoa*2

3
Siku njema mpenzi twaiona
Siku njema mpenzi ni furaha
Siku njema mpenzi twaungana
Siku njema ni Mungu alipanga

4 Kiitikio
a.       
Ni mapenzi ya Mungu tupendane
Ni mapenzi ya Mungu mimi na wewe
Ni mapenzi ya Mungu tuoane
Ni mapenzi ya Mungu sisi wawili *2
b.      
Furaha ya Yesu Asifiwe
Furaha ya ndoa yetu wawili
Furaha ya Yesu Asifiwe
Furaha ya ndoa yetu wawili
Furaha ya Yesu Asifiwe
Furaha ya ndoa yetu wawili
Furaha ya Yesu Asifiwe
Share this article :

Post a Comment

 
Usaidizi : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2014. Swahili - Haki zote zimehifadhiwa
Imeundwa na Creating Website Ikachapishwa na Mas Template
Imeletwa kwako na Balozihumu