Isitoshe, mimi na Makaa tulizoea kuvaa ngozi za ngombe zilizosetiri miili yetu vikamilifu. Hata huo mtindo ulianza kuniudhi baada ya kuona mavazi ya akina Hari yalivyokuwa. Nikaapa sitovalia ya akina hari tena. Kimsingi, nimechukia maisha ya akina Makaa. Leo asubuhi nilimpa mkono wa buriani. Najua babangu alikuwa mjakazi wa akina Hari ila hilo halinitishi kwa sasa. Maadamu nina kazi nzuri ya kukidhi mke na wanangu sijali kutawaliwa kiakili.
Translate
Buriani
Tuesday, September 23, 20140 comments

Post a Comment