Kiswahili

Lugha hii ina uwezo wa kuwa lingua franca barani afrika, je unaamini hilo? Kama jibu ni ndiyo, basi ni juhudi zipi uanzofanya kugakikisha hilo?

Tafsiri

Rambi ninakutumia, ulipo mtanzania Hivi sasa waumia, shetwani kakuwania Akaiba watu mia, Maisha wakipania       Makiwa Tanzania, sote tutaacha dunia Sikitiko familia, zisi...

Soma zaidi »

Mwenzio nina mashaka, maarifa nikisaka, Hili sio la kucheka, laana au baraka, Ni vipi yaeleweka, mada ino kuishika, Mapenzi yakitoroka, si mchezo kushikika Mimi nimesaidika, mafunzo niliyo...

Soma zaidi »

Soma hii kwa makini, ikufae na akili Nikujuze kwa yakini, maisha mwendo ya mbali Kufaulu ‘mu duniani, kwataka uwe mkali Barua naiandika, ikufikie mwanangu Maono yawe mpini, yashike kila pah...

Soma zaidi »

           Umewahi kuwazia mchakato mzima wa tunda ulipendalo tokea upanzi hadi kinywani mwako? Kweli ni kwamba ni nadra kwetu kuwazia “jambo ...

Soma zaidi »

Tunao uwezo mkuu...

Soma zaidi »

He, wapenda sifa? Haya basiYHWH(YAHWEH): http://youtu.be/rud1otNu1P...

Soma zaidi »
Hivi karibuni

Translate

thumbnail

MAKIWA TANZANIA

Saturday, August 10, 20190 comments

thumbnail

NINI MAANA YA AIDHA?

Saturday, July 27, 20190 comments

thumbnail

Mapenzi Safari

Wednesday, November 28, 20180 comments

thumbnail

Kwa Mwanangu

Thursday, August 9, 20180 comments

thumbnail

Mbegu

Friday, October 13, 20170 comments

Pages (10)1234567 Next

Labels

 
Usaidizi : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2014. Swahili - Haki zote zimehifadhiwa
Imeundwa na Creating Website Ikachapishwa na Mas Template
Imeletwa kwako na Balozihumu